Nyumbani Daily News Ukurasa 629

Daily News

Green

Rob Green Astaafu Soka

1
Mlinda mlango wa klabu ya Chelsea, Green ametangaza kutundika glovu zake baada ya kipindi cha mafanikio na kikosi cha klabu hiyo ya Chelsea. Amekuwa kikosini hapo kwa muda sasa akiwa kama mlinda mlango wa akiba lakini kwa sasa anaona...
uefa

Kikosi Bora cha EUFA Europa

2
Baada ya Chelsea kunyanyua kombe la Europa msimu huu kutokana na ushindi mzito walioupata kutoka kwa Arsenal ambao hakika ni wa heshima katika mashindano hayo makubwa duniani wameweza kujijengea historia nzito sana huku wakiweza kupata nafasi hiyo nyeti mno...

Rada za Barcelona

1
Msimu wa 2018/19 unaelekea kileleni kwa ligi nyingi huku nyingine zikiwa tayari zimekwishamalizana kabisa na masuala yanayohusu ligi lakini Barca tayari wamekwishaanza kujishughulisha na zoezi zima la kuangalia wachezaji watakaoweza kuwafaa kwa msimu mpya unaofuata ambao kwa hakika unakuwa...
Esperance de Tunis na Wydad Casablanca

Aibu ya Soka la Afrika!

2
Soka letu la Kiafrika linaonekana kuwa na safari ndefu sana ikiwa ni pamoja na kufanya maboresho makubwa sana kuanzia suala la maamuzi na uwekezaji mkubwa. Limekuwa ni soka lililotawaliwa na vitimbwi vya kila aina huku wengine wakiumizwa kwa maamuzi...
Ajib

Ajib Ashindwana na Mazembe

2
Miamba wa soka wa Congo, TP Mazembe wamesitisha hatua zao za kuendelea kumfukuzia nyota wa Tanzania na klabu ya Young Africa, Ajib ambaye wameona kwamba katika sintofahamu tayari alikuwa amefanya makubaliano na klabu yake ya zamani ya Simba ili...
epl

Kumi wa Msimu wa 2018/19

3
Kama ilivyo kawaida unapomalizika msimu wa ligi lazima kuna nyota ambao huweza kuonekana kuwa wamefanya vizuri zaidi kwenye mchezo fulani ndani ya msimu huo. Hii huweza kuhusisha ligi zote kubwa zinazofahamika Ulaya na zenye majina makubwa kiushindani kutokana na...
Inter Wamemwagana na Spalletti

Inter Wamemwagana na Spalletti

3
Miamba wa soka Italia, klabu ya Inter Milan wamemwagana na kocha wao aliyekinoa kikosi hicho hadi wanafikia hatua ya kuweza kufuzu kushika nafasi ya nne itakayowapa nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa msimu ujao. Hivyo, kwa msimu mpya hatakuwa...
Ramos Kusalia Madrid

Ramos Kusalia Madrid! Haondoki!

0
Kulikuwa na taarifa zilizozagaa katika mitandao kwamba kuna kila dalili ya nahodha wa muda wote wa kikosi cha Madrid, Sergio Ramos kutimkia China baada ya kupishana kidogo na uongozi na kuona kwamba suluhisho pekee ni kwenda kutafuta nafasi ya...
Simba na Okwi…

Simba na Okwi…

1
Simba wanaonekana kumwagana na nyota wa klabu hiyo aliyewafanya wawike sana msimu huu kwa kuchangia idadi kubwa ya upatikanaji wa magoli mengi katika ligi ya ndani na hata kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika. Nyota huyo amekuwa na nyota...

Yamewakuta Arsenal!

1
Fainali la UEFA Europa imefanyika tayari kule BAKU huku ikishuhudiwa klabu mbili za Uingereza ikiwemo Arsenal na Chelsea wakitoana jasho huku Chelsea akionesha ubabe wake kwa kumpa Arsenal kipigo kizito cha fainali hiyo kwa magoli 4-1 huku wakitawala soka...

MOST COMMENTED

Tuchel Haogopi Kuhusu Kazi Yake Baada ya Kupoteza kwa 2-1.

26
Thomas Tuchel haofii kuhusu kazi yake kama kocha mkuu wa Paris Saint-Germain kuwa katika hatari baada ya kuchezea kichapo cha 2-1 dhidi ya RB...
Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

HOT NEWS