Sheikh Jassim Ajitoa Kuinunua Manchester Utd

sheikh Jassim

Sheikh Jassim bin Al Thani amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kuinunua Manchester United kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali nchini Uingereza. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Vyanzo vya karibu na Sheikh Jassim vimethibitisha kuwa ameondoa ofa yake ya rekodi ya dunia kwa wababe hao wa Old Trafford baada ya kushindwa kuafikiana na familia ya Glazer.

Kuna taarifa zinasema kwamba David Beckham alikuwa kama balozi anayetarajiwa kama ombi la Jassim lingefanikiwa.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Kujiondoa kwa Sheikh Jassim inafungua njia kwa bilionea wa Uingereza na shabiki mkubwa wa Manchester United, Ratcliffe kuendeleza ombi lake la kununua hisa chache katika klabu hiyo.

sheikh jassim

Ratcliffe anaaminika kuwa na matumaini kwamba ofa yake ya kununua asilimia 25 ya hisa ya Glazer itakubaliwa mara moja kwa nia ya kuwa mmiliki mkuu wa United.

Hata hivyo Joel na Avram Glazer wamekuwa wakisitasita kuingia katika mauzo kamili. Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe