Simba, Yanga Kuanza Kutoa Burudani Leo FA

WAMEPATA urahisi sana magwiji wa Kariakoo Simba na Yanga kwenye Azam Sports Federation Cup 2023/24 kwenye michezo ya raundi ya pili inayotarajiwa kupigwa ndani ya Januari baada ya ratiba kupangwa. Meridianbet ni chimbo pekee la utajiri, kusanya mkwanja ukibeti kwa ODDS KUBWA au CHEZA KASINO MTANDAONI HAPA.

 

yanga

Simba na Yanga wameshawajua wapinzani wao kwenye hatua hiyo ambapo mechi zitachezwa kwa mtindo wa mtoano atakayepoteza mchezo safari inamkuta.

Mabingwa watetezi Yanga watavaana na Hausing FC Januari 30 Saa 1:00 usiku, Uwanja wa Azam Complex, kubashri na meridianbet kunakufanya kuwa tajiri, Ligi ya Mataifa Afrika inaendelea kwa michezo miwili leo ya mtoano, Mali V/s Burkinafaso, Morocco vs Afrika Kusini. BETI HAPA kwa ODDS KUBWA.

Simba itacheza na Tembo FC Januari 31 katika dimba hilo hilo la Azam Complex majira ya saa 1:00 Usiku, bila shaka usajili mpya utapata nafasi ya kuonesha makali yao ambapo nyota kama Fredy Michael na Pa Omar Jobe hakuwepo kwenye mashindano ya mapinduzi, hivyo mashabiki wana hamu ya kuwaona nyota wao wapya.

Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa mechi za nyumbani itamenyana na Dar City Januari 31 saa 10:00 jioni.

Mtibwa Sugar watamenyana na Nyakagwe FC, Januari 30
Uwanja wa Manungu Complex Saa 10:00 jioni. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe