UEFA Wanachunguza Tukio la Jose Mourinho

Mourinho

UEFA inasubiri ripoti za afisa wa mechi kabla ya kuamua kuchukua hatua dhidi ya Jose Mourinho kwa kosa lake dhidi ya mwamuzi Anthony Taylor baada ya Roma kupoteza katika fainali ya Ligi ya Europa. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Kocha wa Roma Mourinho alimkosoa Taylor katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya timu yake kushindwa kwa mikwaju ya penati dhidi ya Sevilla mjini Budapest Jumatano usiku. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Na katika clip za video ambazo baadaye ziliibuka kwenye mitandao ya kijamii, meneja huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United anaonekana akimsogelea Taylor na maafisa katika eneo la maegesho ya magari na kusikika akitamka maneno ya fedheha.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Meridianbet Tanzania (@meridianbettz)

Taylor alimpa kadi nyekundu Mourinho wakati wa mchezo huo, ambao ulimaliza 1-1 baada ya muda wa ziada kabla ya Sevilla kunyakua ushindi wao wa saba wa Ligi ya Europa kwa kushinda 4-1 katika mikwaju ya penati. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Hasira zilitanda ndani na nje ya uwanja katika mchezo wa fainali, huku wachezaji 13 wakionyeshwa kadi za njano, saba kati yao zikiwa ni za wachezaji wa Roma.

Mchezo huo ulijaa ucheleweshaji, na jumla ya dakika 25 za kusimama ziliongezwa kwa dakika 120 za muda wa kucheza. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Mourinho alipoteza kwa mara ya kwanza katika fainali yake kuu ya sita ya Uropa, huku Sevilla wakiendeleza rekodi yao ya ushindi wa michuano hiyo kufuatia mafanikio ya awali mnamo 2006, 2007, 2014, 2015, 2016 na 2020.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.