Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp  amesema kuwa hafurahishi na aina ya ukabaji wa klabu ya Tottenham Hotspur ambayo inanolewa na kocha Antonio Conte.

Klopp alizungumza siku ya jumamosi jioni baada ya mchezo kuisha kwenye dimba la Anfield kwa sare ya 1-1, huku akikosoa mbinu za wageni za kuzuia zaidi kuliko kucheza, huku akisema kuwa walipaswa kucheza zaidi.

Klopp, Klopp: Sipendi Jinsi Tottenham Wanavyokaba, Meridianbet

Klabu ya Tottenham ilimiki mpia kwa asilimia 35, lakini bado walikuwa hatari kwa mashambulizi ya kushtukiza kwa kuwatumia zaidi wachezaji mahiri Son Heung-min, Harry Kane, na Dejan Kulusevski. Tottenham walianza kupata goli kupitia kwa son na baadae liverpool walisawazisha kupia kwa Luis Diaz.

Klopp alipoulizwa kama alivutiwa na aina ya ukabaki wa klabu ya Tottenham alijibu,  “samahani mimisio mtu sahihi wa hilo, sipendi aina ya mpira wa kuzuia. Lakini hilo ni tatizo langu.

“Nadhani wao ni wachezaji wa daraja la juu, na nafikili wanapawa kucheza zaidi. Nadhani kwenye mchezo dhidi ya Liverpool walikuwa na asilimia 36, 38 za umiliki wa mpira.

“Lakini ni tatizo langu. siwezi kufundisha hivyo. Ndio maana siwezi kucheza hivyo. Kwaiyo ndiyo hivyo, wachezaji wa daraja la juu wanazuia mipira muda wote, kiukweli ni ngumu sana. Atletico Madrid wapo vizuri kwenye hili. Sawa, wanashinda chochote. Safi kabisa. Mimi siwezi tu. Naeheshimu kila wanchofanya, lakini sio kwangu.” alisema klopp.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa