FA Cup: Draw Kuchezeshwa Leo

Draw ya mzunguko wa nne kwenye kombe la FA Cup kufanyika leo Jumapili 9 January muda wa saa 12:50 jioni pia draw hiyo itachezeshwa kwenye uwanja wa Wembley

Draw ya FA Cup itaendeshwa na golikipa wazamani wa timu ya uingereza David James na mchezaji wa kimataifa wa uingereza na klabu ya Arsenal ya wanawake na Leah Williamson, watachagua timu 16 kwenye mzunguko wa nne ambao utachezwa kati ya tarehe 4 mpaka 7 February.

FA Cup
FA Cup

Washindi wa mzunguko wa nne ambao utaanza Ijumaa tarehe 4 hadi Jumatatu tarehe 7 February klabu itakayoshinda kwenye hatua hiyo itachukua  kiasi £90,000 kama zawadi.

Hatua ya nne mipira ya namba na timu itakayozungushwa:-

1. Boreham Wood
2. AFC Bournemouth
3. Stoke City au Leyton Orient
4. Southampton
5. Chelsea
6. Liverpool au Shrewsbury Town
7. Cardiff City au Preston North End
8. Coventry City
9. Huddersfield Town
10. Brighton & Hove Albion
11. Kidderminster Harriers
12. Leicester City
13. Middlesbrough
14. Hartlepool United
15. Everton
16. Fulham
17. Tottenham Hotspur au Morecambe
18. Crystal Palace
19. Brentford
20. Manchester City
21. Wigan Athletic
22. Luton Town au Harrogate Town
23. Plymouth Argyle
24. Manchester United au Aston Villa
25. Wolverhampton Wanderers au Sheffield United
26. Cambridge United
27. Barnsley
28. Peterborough United
29. West Ham United au Leeds United
30. Queens Park Rangers
31. Charlton Athletic au Norwich City
32. Nottingham Forest au Arsenal


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.