Xavi: Frenkie de Jong ni Mchezaji Muhimu

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez amesisitiza kuwa kiungo wake huyo wa kimataifa kutoka uholanzi Frenkie de Jong atakuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi hicho ikiwa ataamua kubaki Nou Camp.

Xavi alishakubali kuwa swala Frenkie de Jong liko nje ya uwezo wake, kutokana na mchezaji mwenyewe kutoeleweka kwenye maswala ya mshahara wake, kwani yeye ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa pesa ndefu na timu inatafuta unafuu wa kifedha

“Frenkie de Jong sio mchezaji wa kuanzia nje, yeye ni mchezaji muhimu na nimeshasema mara nyingi. Sijui nini kitatokea, lakini ikiwa atasalia ataendelea kuwa mchezaji muhimu.” Alisema Xavi baada ya mchezo wo dhidi ya Rayo Vallecano kuisha kwa sare ya kutokufungana.

Frenkie de Jong kwenye mchezo dhidi ya Rayo Vallecano siku ya jumamosi aliingia akitokea benchi na kuchukua nafasi ya Gavi.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.