Konkoni Majanga Ndani ya Yanga

Konkoni

IMELEEZWA kuwa mshambuliaji wa Yanga, Hafidh Konkoni huenda akaukosa mchezo wa marudiano wa Hatua ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakaocheza dhidi ya Al Merrikh ya Sudan. Una nafasi ya kubashiri mchezo huu una odds kubwa Meridianbet.

Mchezo unatarajiwa kupigwa Septemba 30, mwaka huu saa moja kamili kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Konkoni hivi sasa anapambania nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo, kinachonolewa na Muargentina Miguel Gamondi.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Championi Jumatatu kutoka ndani ya Benchi la Ufundi la timu hiyo, mshambuliaji ataukosa mchezo kutokana na majeraha ya misuli.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Mtoa taarifa huyo alisema kuwa mshambuliaji huyo alipata majeraha akiwa mazoezini kambini kwao Kijiji cha Avic Town, Kigamboni Dar na hivi sasa anaendelea na matibabu.

Aliongeza kuwa mshambuliaji huyo atarejea uwanjani haraka baada ya majibu ya madaktari kutoa taarifa za kutopata majeraha makubwa yatakayomsababishia kuukosa mchezo huo.

“Konkoni amepata majeraha akiwa mazoezini katika kambini Avic Town, Kigamboni lakini majeraha yatamfanya akae nje kwa siku chache kwa hofu kujitonesha.

“Taarifa za awali zinaeleza kwamba upo uwezekano jeraha hilo likamweka nje kwa muda wa wiki tatu hadi nne ili aweze kurejea katika hali ya kawaida hivyo ataukosa mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika,” alisema mtoa taarifa huyo.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.