MO Salah Abadili Viatu na Kufunga 2 Sasa Amfikia Haaland

Mohamed Salah ataelekea kwenye michuano ya AFCON huko Ivory Coast mara baada ya kuonesha kiwango kikubwa kwenye mchezo dhidi ya NewCastle uliomalizika kwa Liverpool kupata ushindi mkubwa wa mabao 4-2, ambapo Salah alizama kambani mara 2 na kutoa asisti 2 kwenye ushindi huo mnono.

Salah Liverpool

Katika kipindi cha kwanza mashabiki walishuhudia mchezaji huyo akikosa mkwaju wa penati dakika ya 22, na kuonekana kutofurahishwa kwa pigo lake la penati kupangulia na mlinda mlango wa NewCastle. Bashiri na Meridianbet kila mechi ina machaguo 1000= na odds kubwa za ushindi.

Mara baada ya michezo ya jana na leo kutamatika Ligi ya EPL itasimama kwa muda kupisha Kombe la FA na kisha mapumziko ya majira ya baridi yanayodumu zaidi ya Januari yote, ambapo mpaka sasa Liverpool ndiyo timu inayoweza kuizuia Manchester City kushinda taji la ligi kwa mara ya nne mfululizo. City ipo nafasi ya tatu ikizidiwa pointi tano nyuma ya Liverpool – na mbili nyuma ya Aston Villa.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Mohamed Salah, ambaye anaweza kukosekana hadi katikati ya Februari kutegemea jinsi Misri itavyoendelea kwenye mashindano ya AFCON, anaweza kuwa mchezaji wa kuiongoza Liverpool kufikia taji la 20 la ligi na kusawazisha rekodi. Mpaka sasa Salah ana magoli 14 na asisti 8 kwenye michezo 20 aliyocheza msimu huu, yuko sawa na Erling Haaland.

“Nilikuwa nikiwaza, ‘Je! Unakwenda timu ya taifa na hiyo utendaji? Sio kweli,” Salah alisema, akirejelea kushindwa kwake penalti dakika ya 22. “Nililazimika kuboresha.”

Salah alisema alibadilisha viatu vyake wakati wa mapumziko. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Wakati nilipoona kama ilikuwa inacheza na akili yangu, nilikuwa kama, ‘Sawa, nabadilisha.’ Nifanye akili yangu kuwa tulivu, zichangamkie mchezo.”

Curtis Jones na Cody Gakpo waliifungia Liverpool mabao mengine kwenye mvua kubwa huku Newcastle wakikubali mashuti 34. Kati yake, 18 yalipigwa kipindi cha kwanza, idadi kubwa zaidi katika ligi msimu huu. Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe