Paulsen Aachia Orodha Ya Watakaoshiriki Cecafa U-23

Kocha mkuu wa Taifa Stars, Kim Paulsen ametoa orodha ya wachezaji watakaoshiriki katika michuano ya Afrika Mashariki na Kati ya vijana walio na umri chini ya mika 23 iitwayo kama CECAFA Challenge U23.

Katika orodha hiyo aliyotoa Paulsen, hakuna jina la mchezaji wa Simba hata mmoja huku Yanga wakitoa mchezaji mmoja.

1. Metacha Mnata – Yanga.
2. Daniel Mgore – Biashara United.
3. Wilbol Maseke – Azam.
4. Israel Mwenda – KMC.
5. Nickson Kibabage – Youssoufia (Morocco)
6. Lusajo Mwaikenda – KMC.
7. Sospeter Israel – Azam.
8. Oscar Masai – Ihefu.
9. Lucas Kikoti – Namungo.
10. Joseph Mkele – Mtibwa Sugar.
11. Rajabu Athuman – Gwambina.
12. Meshack Abraham – Gwambina.
13. Reliants Lusajo – Namungo.
14. Erick Mwijage – Kagera Sugar.
15. Andrew Simchimba – Ihefu
16. Abdul Suleiman – Coastal Union.
17. Pascal Msindo – Azam.
18. Abdulrazack Hamza – Mbeya City.
19. Abdulmajid Mangalo – Biashara United.
20. Yusuph Mhilu – Kagera Sugar.

Kwa mujibu wa kanuni za mashindano, timu zinaruhusiwa kuwa na wachezaji watatu wenye umri zaidi ya miaka 23, na hiyo ndiyo sababu ya wachezaji Sospeter Israel, Reliants Lusajo na Yusuf Mhilu.

Kikosi hiki kitaingia kambini Julai 19, 2021 na michuano itaanza rasmi Julai 18, 2021 nchini Ethiopia.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

2 Komentara

    Kikos cha wababe

    Jibu

    Kikosi Cha nguvu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.