Arsenal Wawasilisha ofa ya £17m kwa Houssem Aouar

Klabu ya Arsenal inadaiwa kuwa imewasilisha ofa ya ufunguzi ya pauni milioni 17 kwa kiungo wa Lyon Houssem Aouar.

Washika bunduki wako sokoni la safu ya kati baada ya Dani Ceballos na Martin Odegaard kurejea Real Madrid, huku Granit Xhaka akiatarajiwa kuwafuata wawili hao pamoja na Matteo Guendouzi.

Aouar anaaminika alikuwa kwenye rada ya Arsenal kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, na kwa kuwa mkataba wake wa Lyon ulipaswa kumalizika mnamo 2023, uhamisho wake kwenda Emirates Stadium unakuwa na nafuu zaidi.

Arsenal Wawasilisha ofa ya £17m kwa Houssem Aouar

Kwa mujibu wa Le 10 Sport, Arsenal sasa wamewasiliana na Lyon na ofa ya pauni milioni 17 tayari imewasilishwa, lakini Lyon bado wana msimamo wa ada ya karibu na £ 21m.

Ripoti hiyo inaongeza kuwa Tottenham Hotspur wamejiandaa kupambana na wapinzani wao wa London Kaskazini kuipata saini ya Aouar, na kikosi cha Nuno Espirito Santo kitaweza kutoa ofa bora zaidi ya Washika bunduki.

Aouar alifunga mabao saba na kusaidia mengine matatu katika michezo 30 ya Ligue 1 muhula uliopita pale Lyon.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

2 Komentara

    Arsenal ikifeli tena msimu huu basi hawatompata tena

    Jibu

    Wajitahidi wampate

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.