Nedved: Hakuna Dalili za Ronaldo Kuondoka!

Mkuu wa klabu ya Juventus, Pavel Nedved amesema kuwa klabu haijapokea ombi wala kuona ishara yeyote ya nyota wao Christian Ronaldo kutaka kuondoka klabuni hapo.

Juventus hawakuwa na msimu mzuri chini meneja Andrea Pirlo kwa msimu wa 2020-21, wakishindwa kulinda taji lao dhidi ya Inter Milan, huku wakitolewa kwenye Ligi ya Mabingwa katika hatua ya mtoano wa timu 16 dhidi ya Porto.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Cristiano Ronaldo

Nyota huyo, ambaye kwa sasa y6upo likizo baada ya kumaliza majukumu ya kulitumikia taifa lake kwenye EURO2020, amekuwa akihusishwa sana na kuondoka klabuni hapo baada ya msimu mbaya kwa klabu hiyo.

Mkataba wa Ronaldo kusalia Turin umesalia chini ya miezi 12, na alikuwa akihusishwa zaidi na kurejea klabuni Manchester United, lakini dili hilo halionekani tena kuwa na msisitizo wakati United wakijiandaa kumtangaza rasmi Jadon Sancho.

Nyota huyu wa Ureno amefanya vyema kwenye michuano ya EURO 2020 na kuondoka na kiatu cha dhahabu akiwa na magoli matano na asisti moja kwenye mechi nne za Ureno. Alimaliza msimu wa Serie A akiwa na magoli 29 katika safari 33 za ligi.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

2 Komentara

    Itakuwa pouwa sana kama CR7 atasalia Juventus

    Jibu

    Lazim abakie awape champion league

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.