Sajili Ngumu Msimu Huu
Daily News

Dyabala kutua United, ilionekana kwamba baada ya Ronaldo kutua pale Juventus alichukua namba ya kijana ambaye alikuwa ni chaguo la kwanza la klabu hiyo ambapo kwa vipindi vilivyopita alikuwa kama …

Soma zaidi
Usichokijua Kuhusu Hazard
Champions League

Akiwa ametimkia kwa miamba wa soka wa Hispania, Real Madrid ambao atakuwa akiwapa huduma msimu ujao kwa hakika atakuwa msaada sana ndani ya kikosi hicho na ni kama nafasi iliandaliwa …

Soma zaidi
Chelsea wamechomoa Ofa ya Juve kwa Emerson
Football

Chelsea wanaripotiwa kuwa wamechomoa ofa ya klabu ya Juventus kwa Emerson Palmieri. Juve walikuwa wanamtaka staa huyu, lakini Chelsea wanahofia kuwa watakosa mbadala wake! Ikumbukwe kuwa Meneja wa klabu hii …

Soma zaidi
Rooney Awaonya United Wasisajili Wazee!
Football

Wayne Rooney ameibuka na kuwachana klabu ya Manchester United kuwa wasipagawe na kukimbilia kusajili wachezaji wenye majina makubwa ambo umri wao umeshaenda kama Cristiano Ronaldo au Gareth Bale akihofia kuwa …

Soma zaidi
Uhamisho: U20 Wenye Thamani Kubwa
Champions League

Katika soka kila kipindi huwa na historia yake ambayo kwa namna fulani huwa imejengwa ndani ya wachezaji ambao ndiyo hubeba falsafa nzima ya soka. Katika siku za karibuni baadhi ya …

Soma zaidi
Wachezaji Bora Afrika
Champions League

Kuna idadi kubwa sana ya wachezaji wa Kiafrika ambao wanaheshimika kwa kiwango kikubwa ndani ya mataifa yao kwa mafanikio makubwa waliyoyapata na kusaidia pia ndani ya mataifa yao kuweza kufikia …

Soma zaidi
Muarobaini wa United…
Champions League

Manchester United wana maeneo mengi ambayo wanahitaji kuyafanyia marekebisho msimu huu na miongoni mwa eneo hilo ni lile la upande wa kulia ambalo limekuwa na matatizo sana katika kikosi hicho. …

Soma zaidi
Ghana Wapitisha Bajeti ya Mashabiki 100!
Football

Mambo yanazidi kuwa matamu kuelekea Afcon 2019! Mashabiki 100 ambao wamesajiliwa wa timu ya taifa ya Ghana watapata fursa ya kusafiri kwenda Misri kushuhudia michuano ya Afcon 2019! Bajeti ya …

Soma zaidi
Nani Atamfuata Hazard La Liga?
Football

Eden Hazard amekamilisha uhamisho wake kutoka Chelsea kwenda Real Madrid, akiongeza orodha ya wchezaji wakali walioandika historia kutoka Premier League kwenda La Liga. Hazard anajiunga na mabingwa mara 13 wa …

Soma zaidi
Montenegro Wamtimua Kocha kwa Kukosa Gemu
Football

Montenegro wameamua kumtimua meneja wao Ljubisa Tumbakovic kwa sababu ya kususia kuiongoza timu hiyo kwenye michuano ya kufuzu European Championship. Meneja huyu alikataa kuongoza timu ya taifa hilo dhidi ya …

Soma zaidi