Usajili Ujao wa Man United
Klabu ya soka ya Manchester United itampatia kipaumbele mchezaji beki wa kushoto wa klabu ya Juventus na Brazil, Alex Sandro ambaye ana miaka 27 kubeba nafasi ya mchezaji beki wa …
Huku Liverpool na Salah, Kule Barca na Umtiti!
Habari zinaelezea kwamba mkufunzi wa klabu ya soka ya Liverpool, Jurgen Klopp amefunguka na kusema kwamba uwezekano wowote wa mshambuliaji wa Misri, Mo Salah kuuzwa mwisho wa msimu huu haupo …
Wakala: Bale Haondoki Msimu Huu!
Wakala wa Gareth Bale ambaye ni mshambuliaji wa Wales ameongea kuhusiana na suala la uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28. Kwa maneno yake wakala anasema kwamba Bale …
Juventus Wasanda kwa Bellerin!
Wakali wa kabumbu kule nchini Ufaransa, Juventus wameamua kusitisha harakati zao za kumnasa mchezaji beki kamili wa Hispania anayekipiga kwa Washika Mitutu. Bellerin ana umri wa miaka 23 na hatua …
Bale Ndani ya China!
Habari zinadai kuwa Real Madrid ya Hispania imekubali ombi la dau la paundi milioni 113 la mchezaji wao winga, Gareth Bale! Mchezaji huyu ana umri wa miaka 28 kwa sasa …
Kante: Chelsea ni Nyumbani; Siendi PSG!
Mchezaji kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Chelsea na Ufaransa, N’Golo Kante amefungukia uvumi wa yeye kuhamia klabu ya Ufaransa ya PSG. Kiungo huyu mwenye umri wa miaka …
Firmino: Liver Ilibadili Mchezo Wangu!
Roberto Firmino ambaye ni msakata kabumbu nafasi ya mshambuliaji wa klabu ya soka ya Liverpool Roberto Firmino ameweka wazi kwamba Liverpool ililazimika kubadilisha mtindo wa uchezaji wake mara baada ya …
Xabi Alonso na Sakata la Kodi!
Masuala ya kodi imekuwa ni tatizo kubwa sana huko majuu Hispania ikihusisha wasakata kabumbu na makocha! Siku kadhaa nyuma waendesha mashtaka wa nchini huko wametaka mchezaji wa zamani wa klabu …
Sanchez: Bado Nakomaa Kuyaelewa Mazingira!
Mwanasoka Alexis Sanchez ametoa msisitizo kwamba yeye atazimudu changamoto zinazomzunguka kuhusiana na kiwango chake na kuwa atakuwa staa pale Manchester United anakokipiga kwa sasa. Mchezaji winga huyo wa Chile ana …
Hughes ni wa Watakatifu Tena!
Southampton imethibitisha kwamba Mark Hughes ndiye meneja wao wa kikosi cha kwanza klabuni hapo! Hughes amepata kibarua hicho kwa mkataba unaoenda mpaka mwishoni mwa msimu huu na jukumu lake la …

