Mchezaji kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Chelsea na Ufaransa, N’Golo Kante amefungukia uvumi wa yeye kuhamia klabu ya Ufaransa ya PSG.
Kiungo huyu mwenye umri wa miaka 26 amepinga uvumi kuwa anataka kujiunga na klabu ya PSG. Amedai kuwa yeye anahisi yupo nyumbani pale Stamford Bridge alipo sasa.


Rehema
Gud new
Povel
Kante mwamba