Habari zinadai kuwa Real Madrid ya Hispania imekubali ombi la dau la paundi milioni 113 la mchezaji wao winga, Gareth Bale!
Mchezaji huyu ana umri wa miaka 28 kwa sasa na dau hilo linatoka kwa klabu ya ligi ya China! Yeye binafsi anataka kuondoka kwenye klabu hiyo ya La Liga na kujiunga na moja ya klabu kubwa huko Ulaya!


