Wakali wa kabumbu kule nchini Ufaransa, Juventus wameamua kusitisha harakati zao za kumnasa mchezaji beki kamili wa Hispania anayekipiga kwa Washika Mitutu.
Bellerin ana umri wa miaka 23 na hatua hii ni kwa sababu wanaamini kuwa wao wataweza kumfanyia usajili mchezaji beki wa Italia, Matteo Darmian kutoka kwa Manchester United mwenye miaka 28.


aisha
Duuh noma sana