Wakala wa Gareth Bale ambaye ni mshambuliaji wa Wales ameongea kuhusiana na suala la uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28.
Kwa maneno yake wakala anasema kwamba Bale hatoondoka klabuni Real Madrid msimu huu ingawa kumekuwa na fununu wakati huu ambapo amekuwa nje kwenye mechi kadhaa za muhimu kwa siku za karibuni klabuni kwake hapo.


Povel
Habar njema