Habari zinaelezea kwamba mkufunzi wa klabu ya soka ya Liverpool, Jurgen Klopp amefunguka na kusema kwamba uwezekano wowote wa mshambuliaji wa Misri, Mo Salah kuuzwa mwisho wa msimu huu haupo kabisa klabuni hapo.
Kwa upande wa huko Hispania, klabu ya Barcelona haina haraka ya mkataba mpya na beki wake ambaye ana umri wa miaka 24, Samuel Umtiti klabuni hapo kwa sasa.


Neema juma
Kumbe asante kutujuza #meridianbet.
isha
Duuh liverpool mkimuuza salah mmekwisha ๐ โโ๏ธ๐ โโ๏ธ๐ โโ๏ธ๐ โโ๏ธ
Povel tz
Hapo hatoki mtu