Southampton imethibitisha kwamba Mark Hughes ndiye meneja wao wa kikosi cha kwanza klabuni hapo!
Hughes amepata kibarua hicho kwa mkataba unaoenda mpaka mwishoni mwa msimu huu na jukumu lake la kwanza ni mwishoni mwa wiki hii kwenye moja ya gemu wanayoenda kuumana na wapinzani wao.


Povel
Habar njema