Xabi Alonso na Sakata la Kodi!

Masuala ya kodi imekuwa ni tatizo kubwa sana huko majuu Hispania ikihusisha wasakata kabumbu na makocha!

Siku kadhaa nyuma waendesha mashtaka wa nchini huko wametaka mchezaji wa zamani wa klabu za Liverpool, Bayern Munich na Real Madrid, Xabi Alonso afungwe jela!

Kwa sasa mchezaji huyo amestaafu na kifungo chake kinaweza kuwa ni kwa muda wa miaka nane na nusu akituhumiwa kuwa na kosa la kutumia udanganyifu kwenye malipo ya kodi akiwa huko.

3 Komentara

    Nadhani Spain kuna mianya mingi ya wanasoka kukwepa kodi maana imekuwa ni kawaida kwa visa hivi kutokea mara kwa mara, ilikuwa hivyohivyo kwa Mourinho, Ronaldo na Messi#meridianbettz

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Apewe adhabu kali maana vitendo hivi vimekithiri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.