Kocha wa klabu ya Liverpool  Jürgen Klopp amesema kuwa hana shaka na mchezaji wa zamani wa klabu hiyo ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya Aston Villa Super Gerrard kuweza kupata hamasa ya kuifunga klabu ya Man city kwenye mchezo wa mwisho siku ya jumapili.

Liverpool ambayo inashika nafasi ya pili ambapo imeachwa kwa alama moja dhidi ya Man City ambayo inaongoza ligi, huku kikosi cha Klopp kikiwa kInamaliza na mchezo wake wa mwisho dhidi ya Wolves wakati Gurdiola akiwa anamaliza na Aston Villa.

Klopp

Ikiwa Aston Villa atafanikiwa kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Man City na Liverpool akafanikiwa kumfunga Wolves, basi kikosi cha Klopp kitakuwa bingwa mpya wa ligi kuu ya Uingereza. Pia watakuwa wamefanikiwa kuchukua makombe yote nchini humo kwani mpaka sasa wamefanikiwa kuchukua Carabao Cup na FA Cup.

Jürgen Klopp wakati akifanyiwa mahojiano na kuulizwa kuhusu uwezo wa Gerraed lijibu, “sina shaka na Steven Gerrard, Aston Villa watakuwa na hamasa ya ziada ya kumfunga Man City kuweza kuisaidiia Liverpool kuchukua ubingwa wa Ligi kuu.

“Sina shaka kabisa kuwa Stevie atalibeba hili jukumu kwa asilimia 100.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa