AHMED ALLY AIBUKA NA KAULI NZITO BAADA YA KIPIGO

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally, ameibuka na kutoa neno nzito Kwa Mashabiki Baada ya siku mbili kupita tangu walipofungwa na Yanga 2-1.

AHMED ALLY AIBUKA NA KAULI NZITO BAADA YA KIPIGO

Ahmed amesema, ni kweli wanapitia kwenye wakati mgumu kwenye Ligi Kwa Sasa, lakini hiyo inawafanya waendelee kuimarika Kwa siku za mbeleni.

“Dhahabu hupitishwa kwenye moto mkali ili ipate thamani na iwe bora. Licha ya kuwa huteseka inapopita kwenye moto huo lakini mwishoe hubaki safi, bora na thamani yake huongezeka maradufu.”

Wana Simba tuvumilie kupita kwenye moto huu mkali ili tuwe bora na hadhi yetu irejee.

Najua maumivu ni makubwa kwa kua moto mkali lakini hatuna budi kuvumilia kwani ndio njia pekee ya kurudi kwenye thamani yetu. This time soon, alisema Ahmed.

AHMED ALLY AIBUKA NA KAULI NZITO BAADA YA KIPIGO

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Acha ujumbe