Miongoni mwa Wachezaji wenye mchango mkubwa kwa sasa pale Simba ni Chama Mwamba wa Lusaka, na ukitaka kugombana na mashabiki wa Lunyasi mguse Mwamba wa Lusaka hawataki kabisa kusikia chochote. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Sasa huenda ukawa unajiuliza mpaka sasa Chama ana Asisti ngapi za Ligi kuu, na ni mchezaji gani anaongoza kwa asisiti msimu huu wa 2022/23, ORADHA YA WACHEZAJI WENYE asisti nyingi ni hii hapa.
1: Clatous Chama (Mwamba wa Lusaka) – Simba SC = 14
2: Ayoub Lyanga – Azam FC = 7
3: Saido Ntibanzonkiza (Father of Bujumbura) – Simba = 7
4: Sixtus Sabilo – Mbeya City = 6
5: Mohamed Hussein (Zimbwe jr) – Simba SC = 5
6: Ally Ramadhani – Kagera Sugar = 4
7: Nicolas Gyan – Singida Big Stars = 4
8: Joyce Lomalisa – Yanga SC = 3
9: Ismail Mhesa – Mtibwa Sugar = 3
10: Joseph Mahundi – Ihefu =2
11: Salum Abubakar (Sure Boy) – Yanga SC = 2
Chama pamoja na Saidoo Ntibazonkiza wamehusika kwenye jumla ya magoli 35 ya Ligi kuu, kwahiyo hapa utaona kabisa mgodi wa mabao upo Simba SC. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Unadhani ni mchezaji gani atakuwa kinara wa hii orodha mpaka msimu ukiisha, zikiwa zimebaki mechi 8 tu mpaka sasa? Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

