Breaking News: Kibu Denis Arejeshwa Simba

Dili la Kibu Mkandaji na timu ya ligi kuu ya Norway, Kristiansund BK, limekufa Baada ya Simba kumtaka mchezaji huyo arejee nchini Mara moja. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Mwanzoni Simba walikuwa kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na Kristiansund BK,na walikuwa tayari kumuachia mchezaji huyo Ila ghafla Simba wakawatumia email Kristiansund BK ya kuwajuza Kibu hauzwi Tena…hii ni Baada ya kuhisi kuna kitu kinaendelea kutoka kwa majirani zao wa Kariakoo.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Baada ya email hiyo Kristiansund BK waliogopa kuendelea na mchakato wa Kibu badala yake wakamtaka amalizane na Simba Kisha wao watamsajili.

Hivi Sasa Kibu yuko safarini na Muda wowote atatua Dar es salaam.

Simba wamemtaka mchezaji huyo arudi Dar es salaam,ili mazungumzo na Kristiansund BK yafanyike Akiwa hapa.

Kwa bahati mbaya Kibu anarudi Bongo Ila hayuko tayari kuichezea Tena Simba,akili na mwili wake tayari viko sehemu Nyingine.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe