Dili la Mpanzu Kizungumkuti Simba Yahamia kwa Jonathan Alukwu

Mnyama Simba ameanza mazungumzo na Sporting Lagos FC ya Nigeria ili kupata saini ya winga wa kikosi hicho, Jonathan Alukwu, ikiwa itashindwa kumpata Elie Mpanzu kutoka AS Vita ya DR Congo. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

 

JONATHAN Alukwu mwenye miaka 21, anaichezea FC Heartland, inaelezwa Simba wanajaribu kumshawishi ili ajiunge nao.

 

Dili la kumsajili winga huyo wa AS Vita lina ugumu kutoka kwenye timu, licha ya mhezaji mwenyewe kuonesha nia ya kucheza soka nje ya DR Congo.

 

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

 

Rais wa AS Vita Diaby aliingilia kati usajili wa nyota huyo kwenda Simba, na kumsihi mchezaji husika kusalia klabuni hapo na atampa mara tatu ya kile kinachotolewa na Simba.

 

Lakini Elie Mpanzu mwenyewe inaeleza kishawaaga wachezaji wenzake, na kinachosubiriwa tu ni makubaliano kati yake na Uongozi wa timu yake.

 

Inaelezwa kwamba Kiongozi mmoja wa Simba alifika DR Congo kusukuma dili hilo, na kumchukua mchezaji huyo kumpelea Kinshasha kuepuka hatari ya mashabiki ambao nao hawataki aondoke.

 

Simba hadi sasa imefanya sajili 11, huku ikianza na Joshua Mutale, Steve Mukwala, Jean Charles Ahoua, Augustine Okejepha, Abdulrazak Hamza, Valentino Mashaka, Deborah Farnandes, Valentine Nouma, Yusuph Kagoma, Chamou Karaboue, Lameck Lawi.

 

Na bado inaelezwa wataendelea kutambulisha vyuma vya kaz, ikiwa leo watatambulisha Mashine ya Ubaya Ubwela kwa mujibu wa Afisa Habari wa Klabu hiyo Ahmed Ally.

 

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe