Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu ya Tanzania Yanga SC, ni kama tu wampa nafasi ya kuitwa timu ya taifa mara ya kwanza mshambuliaji wao Fiston Mayele baada ya kukosekana kwa miaka mitatu mtawalia kwenye kikosi cha DR Congo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Mayele mara ya mwisho alijumuishwa kwenye kikosi cha taifa hilo lenye nyota wengi kutoka ulaya mnamo mwaka 2020 wakati wa michuano ya CHAN, wakati huo akiwa bado anaichezea AS Vital Club na kimbembe na nafasi yake ikawa ngumu zaidi baada ya kuhama ligi na kuja kucheza Yanga na kuipoteza kabisa nafasi ya kuitwa akiwa mchezaji wa ndani ya Congo.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Baada ya kutua Jangwani hasa kiwango chake tangu msimu uliopita ilikuwa rahisi kocha wa taifa hilo Sebastian Desabre kuwaacha baadhi ya nyota wanaocheza ulaya, na kuamua kumjumuisha Fiston Kalala Mayele kinara wa mabao wa ligi kuu ya NBC kwa sasa,mfungaji kiongozi wa Yanga kombe la shirikisho pia ndiye mchezaji anayeogopwa zaidi na mabeki wa timu pinzani.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

