Droo ya CAF Kupangwa Kesho, Simba na Yanga Yasubiri Kwa Hamu

Baada ya Droo ya CAF kuahirishwa hatimaye kesho Jumatatu inatarajiwa kupangwa ambapo miamba wa Tanzania Simba na Yanga wakisubiria kwa hamu nani atapangwa na nani katika michuano ya Klabu Barani Afrika.

 

Droo ya CAF Kupangwa Kesho, Simba na Yanga Yasubiri Kwa Hamu

Simba wao watasubiri kujua wanapangwa na nani kwenye ligi ya Mabingwa ambapo waliingia baada ya kumuondoa De Agosto ya Angola na kuingia katika hatua ya makundi.

Wakati Yanga wao wanasubiri kujua kwenye kombe la shirikisho watapangwa na nani baada ya kumuondoa Club Africain ya huko Tunisia kwa ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Aziz Ki baada ya mechi ya nyumbani kutoa sare.

Droo ya CAF Kupangwa Kesho, Simba na Yanga Yasubiri Kwa Hamu

Misimu iliyopita ambaye anakuwa hajafuzu alikuwa akifutilia ili kujua ni wageni wapi wa kuwapokea lakini safari hii wote wanaifuatilia kwa undani zaidi kwa sababu wote wawili wanahusika.

 

Acha ujumbe