RAIS wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi ametoa mtihani mzito kwa magolikipa makinda wa timu hiyo ambao wanaunda kikosi cha U-20 kuhakikisha wanakuwa bora kama ambavyo Djuidjui Diarra wa Yanga ya wakubwa.

Hersi, aliwataka wachezaji hao kuzidisha juhudi kwenye mazoezi yao ili waweze kufikia ubora wa Diarra kubwa zaidi akiwataka kucheza kisasa ikiwemo kuanzisha mazoezi.

 

HERSI

Akizungumza na wachezaji hao kwenye viwanja vya mazoezi vya Avic Town baada ya mechi yao ya kirafiki na timu ya wakubwa waliyopoteza kwa mabao 2-1, Hersi alisema kipa wa kisasa ni yule anayetumia zaidi miguu akiwa kwenye eneo lake.

“Nyinyi mnatakiwa kuwa bora zaidi kwa kuwa bado mnajifunza na mna nafasi kubwa ya kufanya mambo makubwa. Kipa wa kisasa unatakia kuwa chanzo cha kuanzisha mashambulizi.

 

HERSI
“Nyinyi mnatakiwa kuwa imara kwa sababu bado mna nafasi ya kujifunza kupitia kwa hawa watu ambao wamewatangulia kama Diarra. Unatakiwa kuwa hivyo na ili mfikie huko ni hapa kwenye uwanja wa mazoezi,” alisema Hersi.


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

machaguo spesho

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa