Kiungo Mpya Simba Apigwa Madongo

Kiungo mpya wa Simba SC Isamael Sawadogo ameanza kukosolewa vikali na baadhi ya wachambuzi wa soka hapa nchini kutokana na kiwango chake. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

 

SIMBA

Miongoni mwa wale waliomkosoa ni mchambuzi Wilson Oruma anayefuatiliwa zaidi kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii.

Wakati mechi ikiendelea kati ga Simba na Coastal Union juzi, Oruma aliandika ujumbe kwenye mtandao wa Instagram kuhusu Isamael Sawadogo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

sawadogo

Kwa kauli hii iliibua maneno mengi hhku wengi wakionesha mitazamo yao, lakini mtazamo wa Mwandishi wa Meridianbet Sports Abubakar anaamini kuwa ni ngumu sana kumpima mchezaji kwa mechi 3kwa kawaida mchezaji hupimwa uwanjani kuanzia mechi 10 na kuendelea au kwa miezi mitatu. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Rudi kwa mchezaji huyo hakuwa na mechi za maandalizi ya msimu na wenzake (Pre_season), Lakini pia kwa mujibu wa ripoti mbalimbali zinasema kuwa Sawadogo-Simba mara ya mwisho kucheza ni mwezi wa 2 mwaka jana 2022.

Kwahiyo basi sababu zote hizi mbili, zinatoa nafasi ya muda kwa Sawadogo ili aendane na timu, ikiwemo kupewa nafaasi ya kucheza mechi nyingi za mashindano. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.