Mtazamo wa Mechi ya Robo Fainali: Simba Vs Al-Ahly

Zikiwa zimesalia siku chache kufanyika kwa mchezo mkubwa kabisa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Simba SC na Al-Ahly mchezo unaovuta hisia kali za mashabiki na wapenzi wa soka hapa Tanzania na kona za bara la Afrika, utapigwa Usiku wa saa3:00 katika dimba la Benjamin Mkapa. Unaweza kubashiri mchezo huu na mingine kwa odds kubwa na machaguo mengi, hakikisha umejisajili na Meridianbet kabla ya kuanza safari ya ushindi.

 

simba

Kuelekea mchezo huu watu wengi wamekuwa wakitoa maoni yao, wachambuzi mbalimbali na waandishi kila siku wanatoa mitazamo, lakini kuna mitazamo miwili inayotawala mechi kati ya Magiant wa soka Africa Al Ahly na Magiant wa Soka la Tanzania Simba sports Club.

1:MTAZAMO WA KIUZALENDO
2:MTAZAMO WA UHALISIA

1: MTAZAMO WA KIUZALENDO

Simba wana nafasi ya kumfunga Al Ahly kwa mara nyingine tena katika dimba la Benjamin william Mkapa.

Kwanza Al Ahly wenyewe wamechoka sasa hivi hawajiwezi naamini anafungwa mechi zote mbili.
-Aliou Dieng sio yule, sasa hivi amechoka, unajua anatumika sana yule na wakati huo mshambuliaji wao  Emam Ashour amepata majeraha ya bega alipokuwa na timu ya taifa ya Misri kwenye mchezo dhidi ya New Zealand, pigo jingine hili. Meridianbet pekee unaweza kupata pesa kupitia mchezo huu, pata bonasi za kasino ya mtandaoni ukijisali kisha ukaongeza salio.

 

emam ashour

2:MTAZAMO WA KIUHALISIA.

Uhalisia wa mchezo huu ni kwamba hizi timu mbili mpaka sasa hakuna anayeonekana ana nafasi ya kuendelea kumzidi mwenzie.

-Mara kwa mara wamekutana na wameonyeshana ubabe hivyo mpaka sasa hakuna mwenye nafasi kubwa sana kumliko mwenzake.

-Mchezo huu nauona kabisa ni 50% – 50% kati ya timu zote mbili hizo inawezekana bingwa wa mchezo huo akapatikana kwa mikwaju ya penati pia. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe