Polisi Tanzania Kumenyana Dhidi ya Coastal Union Kesho

Timu ya Polisi Tanzania inatarajia kumualika Coastal Union hapo kesho katika mchezo wao wa Ligi kuu ya NBC raundi ya 18 majira ya saa 10:00 jioni.

 

Polisi Tanzania Kumenyana Dhidi ya Coastal Union Kesho

Polisi Tanzania ambaye ametoka kupoteza mchezo wake wa mwisho ana hali mbaya kwani mpaka sasa ndiye anayeshikilia mkia kwa kuvuna pointi 9 pekee kwenye msimamo, huku akiwa kacheza michezo 17.

Polisi toka ligi ianze ameshinda mechi mbili pekee sare tatu na kupoteza michezo 12 hadi sasa huku uongozi ukijaribu kuachana na kocha n akutafut amwingine na hivi sasa wanaye Mwinyi Zahera.

Polisi Tanzania Kumenyana Dhidi ya Coastal Union Kesho

Kwa upande wa Coastal Union nao hawapo kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wapo nafasi ya 14 wakiwa wameshinda mechi zao nne, sare tatu na kupoteza mechi 10 pointi 15 kibindoni.

Tofauti iliyopo kati yao ni pointi 6 pekee huku kila timu leo ikitaka ushindi iweze kujinasua nafasi iliyopo.

Acha ujumbe