Robertinho Kuwasili Nchini Leo Usiku

Imeripotiwa kuwa kocha mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘ROBERTINHO’ ambaye aliondoka nchini ghafla, atarejea tena usiku wa leo akitokea kwao Brazil. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

robertinho

Robertinho aliondoka takribani wiki mbili zilizopita ambapo alizua taharuki kwa mashabiki wa Simba kutokana na safari yake ya ghafla, lakini Baadae zilisambaa picha zake kwenye mitandano ya kijamii kwamba alienda kufanya mitihani ya kuongeza elimu ya mafunzo ya ukocha ya ‘ Pro-License‘ huko Brazil.

Na sasa anatarajiwa kuwasili Tanzania usiku wa leo, na kuiongoza timu yake kwenye mchezo wao wa Ligi dhidi ya Singida BS siku ya Ijumaa kwenye dimba la Mkapa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Mchezo wa mzunguko wa kwanza ulichezwa kwenye uwanja wa Liti mjini Singida, na matokeo yaliishia kwa sare ya kufungana bao 1-1. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.