Robertinho: Simba Nipeni Muda Niiandae Timu

Baada ya Simba SC kupoteza nyumbani kwa 3-0 dhidi ya Raja Casablanca ya nchini Morocco mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Roberto Oliveira “Robertinho” amesema timu yake ilicheza vizuri lakini haikutumia nafasi kama walivyofanya wapinzani wao. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

simba

Alisema katika mahojiano na waandishi wa habari “Nilipokuja hapa sikupata muda wa kuiandaa Timu mwanzoni mwa Msimu, nimekutana na Mazingira ya Mechi Mechi kila muda, nahitaji muda wa kuwaandaa wachezaji Kimwili na Kimbinu.”-Robertinho, Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 

mohammed hussein-Simba

Kwa sasa Simba wanashika mkia kwenye kundi lao wakiwa hawana pointi hata moja, na Mchezo ujao wa Kundi C, Simba itawafuata Vipers Nchini Uganda, Februari 25, 2023. katika mchezo huu Simba anapaswa ashinde ili kurejesha matumaini ya kwenda hatua inayofuata ya Robo fainali. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.