Saido out Geita Gold

Nyota wa kikosi cha Geita Gold,  Saido Ntibazonkiza ataukosa mchezo ujao wa ligi baada ya kupewa kadi nyekundu.

 

Saido out Geita Gold

Mchezaji huyo alipewa kadi hiyo jana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar ambapo mtanange huo ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Kadi nyekundu ya Ntibazonkiza ilitokana na faulo aliyomchezea nyota wa Mtibwa Sugar, Omar Sultan dakika ya 54 ya mchezo.

Mabao ya Geita Gold kwenye mchezo huo yalifungwa na Ntibazonkiza kwa mkwaju wa pelnati na Juma Luizio.

Saido out Geita Gold

Mabao ya Mtibwa Sugar yalifungwa na Juma Nyangi huku bao la pili likiwa la kujifunga kutoka kwa beki wa Geita Gold George Wawa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.