Simba Yafunga Dirisha La Usajili na Jean Baleke

Klabu ya Simba imefunga usajili hapo jana kwa kumtambulisha Jean Baleke anayecheza katika nafasi ya ushambuliaji kutoka Taifa la DRC Congo.

 

Simba Yafunga Dirisha La Usajili na Jean Baleke

Mnyama  imemtambulisha mchezaji huyo ikiwa ni usajili wa tatu kuufanya dirisha hili ambapo mcezaji huyo ataenda kuungana na kina Bocco Kyombo na wengine katika eneo la ushambuliaji.

Jean Baleke amewahi kucheza katika klabu mbalimbali zikiwemo JS Kinshasa ya Congo, TP Mazembe, pamoja na Nejmeh SC ya Lebannon na sasa ametua Msimbazi kuja kuonyesha kiwango alichonacho.

Simba Yafunga Dirisha La Usajili na Jean Baleke

Mshambuliaji huyo anacheza pia timu ya Taifa ya Congo chini ya umri wa miaka 23 kwani anaripotiwa kuwa na miaka 21, lakini pia anakiwasha katika timu ya Wakubwa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.