Simba Yaingia Nusu Fainali Mapinduzi CUP kwa Binde

Hatimaye klabu ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi CUP hapo jana baada ya kuifunga Jamhuri bao 1-0 katika dimba la New Amaan Complex.

 

Simba Yaingia Nusu Fainali Mapinduzi CUP kwa Binde

Goli hilo lilifungwa dakika za nyongeza kipindi cha kwanza kupitia kwa Jean Baleke ambaye aliwahikikishia wana Msimbazi ushindi huo kwa Jamhuri walikuwa wanazuia kwa ustadi mkubwa mkubwa sana.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Licha ya Simba ya Benchika kuutawala mchezo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni ngumu kwao kushinda mabao mengi hasa kwa kipindi cha kwanza cha mchezo, lakini bao hilo hilo moja lilitosha kuwavusha hatua nyingine.

Simba Yaingia Nusu Fainali Mapinduzi CUP kwa Binde

Benchika anahitaji kushinda kombe hili kwani kwenye ligi kumekuwa na ushindani mkubwa sana, hivyo akichukua hili atapata nguvu ya kupambania na makombe mengine yaliyobaki kwenye ligi pamoja na kombe la Shirikisho.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Baada ya hapo Simba atakiwasha dhidi ya Singida Fountain Gate hatua ya nusu fainali ambapo timu hizi mbili zilikutana kwenye hatua ya makundi na Walima Alizeti walipoteza mchezo huo. Je wanaweza kulipa kisasi?

 

Acha ujumbe