Dirisha la usajili la mwezi Januari limebakiza siku 8 lifungwe mwezi mnamo Januari 15, 2023. Odds nono za soka unazipata Meridianbet wakati huu ikiwa bado mashabiki wa timu hizi kubwa za Simba na Yanga wamekuwa na hamu ya kuona timu zao zinatambulisha vifaa vya maangamizi kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa na wasemaji wa pande zote mbili. Tembelea maduka ya kubashiri uweke mkeka wako, Meridianbet Odds ni Nono.

Simba Imemsajili mchezaji Gani?

Tangu kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili Mnyama mkali Simba Imetambulisha mchezaji mmoja tu mpaka sasa, Saido Ntibazonkiza akitokea klabu ya Singida Big Star lakini pia amewahi kukipiga na klabu ya Wananchi wa Jangwani Yanga SC. Pata Odds za Soka hapa.

 

SIMBA

Yanga Yamtambulisha Mudathir Yahya.

Wananchi hawajawahi kuwa nyuma linapokuja suala ya usajili, kwa dirisha hili la mwezi Januari wamefanikiwa kuongeza nguvu kwenye kikosi chao kipana. Ni kijana aliyewahi kupita Azam FC lakini hakuwa na timu yeyote akiichezea Mudathir Yahya pacha wake Salum Abubakar ‘Sure Boy’ walipokuwa AZAM FC hatimaye amekuwa ni Mwananchi rasmi. Unaweza kubashiri Mubashara na Meridianbet Bonyeza hapa.

 

YANGA

Nini Kinafuata:

Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu wachezaji gani wanafuata kutambulishwa kwenye timu zao, majibu hayo yanakuwa ni magumu lakini baadhi ya majina haya yamekuwa yakihusishwa kwa pande zote, Simba na Yanga huku kukiwa na hofu ya muda kuisha na kusiwe na mabadiliko mengine.

Simba imekuwa ikihusishwa sana na Cazer Lobi Manzok pamoja na kijana wao pendwa Luis Jose Miquissone huku ikielezwa kwamba mshahara wa nyota huyo wa Al ahly unasemwa kuwa ni dola za kimarekani 25,000/= huku Yanga wakihusishwa zaidi na kiungo fundi Bobosi anayekipiga Vipers. Siku zimebaki 8 Je tutaona wachezaji hawa wakitambulishwa na vilabu hivi vikubwa. ? Tembelea duka la kubashiri uoneshe umwamba wa kubashiri.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa