Wilson Oruma: "Simba SC Imeniangusha", Atuma Ujumbe Huu kwa Uongozi

Mchambuzi wa michezo Wilson Oruma maarufu kwa jina la Mzee wa jambia amesikitishwa sana na nafasi walioyopo Simba SC baada ya ligi kuuya nbc kutamatika. Maokoto bado yapo Meridianbet ukibashiri michezo ya Ligi mbalimbali, kuna Cricket, Tenisi, Ligi ya NBA, Bashiri hapa.

 

SIMBA SC

Oruma alifikia hatua ya kuinamisha kichwa chini na kuonesha masikitiko yake kwa uchungu, huku akitupa lawama kwa Uongozi wa klabu hiyo kushindwa kutimiza majukumu yao ya msingi.

“Usajili umefanyika lakini ni mbovu, tajiri na muwekezaji hayupo na timu” Wilson Oruma Akizungumza na mwandisi wa Meridian Sport.

 

 

Shabiki wa Simba SC unaweza kuwa na furaha ya kudumu kwa kubashiri na meridianbet au kucheza kasino ya mtandaoni hapa, ili uwe moja ya watu wenye furaha kubwa sana.

 

PIGA *149*10#

Acha ujumbe