Wapinzani wa Yanga na Simba FA ni Hawa.

Baada ya michezo yote ya hatua ya 32 kutamatika hiyo jana, timu 16 zimefuzu kutinga hatua ya 16 bora miongoni mwa timu hizo ni vigogo wa Tanzania Simba na Yanga. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

simba

Simba na Yanga wataungana na timu nyingine katika michezo 8 ya hatua hiyo ambazo timu hizo ni kama vile, Ihefu FC, Sjngida BS, Mbeya City, Tanzania Prisons, KMC, Pan Africa, African Sports, Mapinduzi ya Mwanza, Azam FC

Huenda ukawa unajiuliza Simba na Yanga atakutana na timu zipi kati ya hizi, Meriduanbet Sports inakuletea wapinzani wa vigogo hawa wa Kariakoo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

 

yanga

Wananchi baada ya kumfunga Rhino Rangers kwa kipigo kikubwa cha mabao 7-0, ni rasmi sasa atakutana na  Tanzania Prisons wazee wa kudonoa kama kuku kutoka Sumbawanga Rukwa, mchezo huo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.

Kwa upande wa Simba SC ambao walifuzu hatua ya 16 bora kwa mbinde baada ya kuwafunga bao 1-0 wanamangushi Coastal Union wagosi wa kaya hawa kutoka Tanga, sasa wataendelea kukutana na timu ya huko Tanga African Sports katika uwanja wa Mkapa ambapo ni machinjioni kama ambavyo mashabiki wa Simba wanapaita. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.