Rais Karia: Chini ya Mangungu Simba Itafanikiwa Zaidi Kimataifa

Baada ya kuchaguliwa tena kwa awamu nyingine jana, Murtaza Mangungu ataendelea kuiongoza klabu hiyo kama Mwenyekiti wa Simba SC. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

MANGUNGU

 

Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311.

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti huyo wa Simba SC, katika taarifa ya shirikisho iliyotoka hii leo imeandika kuwa. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

“Kuchaguliwa katika kipindi kingine kuongoza klabu hiyo, inaonesha namna ambavyo wanachama wana imani na utendaji wake”


Aidha amewapongeza wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi waliochaguliwa kwenye uchaguzi huo, na kusema kuwa TFF itaendelea kushirikiana na klabu hiyo katika maendeleo ya mpira wa miguu nchini. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Karia aliongeza kuwa TFF inaamini chini ya uongozi wa Mangungu, klabu hiyo itaendelea kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), ambako kwa sasa wako hatua ya makundi ili kuendela kuipeperusha bendera ya Tanzania nje ya mipaka.

Viongozi wa Bodi ya wakurugenzi waliochaguliwa katika uchaguzi huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam ni Dkt Seif Ramadhan Muba, Asha Baraka, CPA Issa Masoud Idd, Dkt Rodney Chiduo na Seleman Haroub.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.