Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu baada ya wekundu hao kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi anasema, toka awali anaingia Simba alisema hakuna wa kuwafanya wakose ubingwa katika ligi hii na ilikuwa ni suala la muda tu kukalia usukani.
“Tulikuwa bize na ligi ya Mabingwa na ndio maana walikuwa wanaongoza katika msimamo lakini bila ya hivyo wangeishatupisha muda mrefu sana,”
“Simba hii haigusiki, hakuna wa kutupokonya ubingwa sijamuona hata mmoja, Simba inamalengo yake ambayo imejipangia toka ligi haijaanza, na huu ni msimu wa nne tunalitwaa taji mfululizo na tutaendelea hivyo hivyo,”amesisitiza Mangungu.
Amesema kazi yao Uongozi ni kuhakikisha wanaweka mipango madhubuti ambayo itazidi kuwafanya wachezaji wao kuwa bora muda wote na kuzidisha ushindani zaidi na zaidi.
KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.
Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?



Johnmary jo
Hongera sana kiongozi kwanza kujiamini na pia wachezaji wako vizuri kazeni buti#meridianbett#
Venerose
Hongereni sana timu zima ya Simba
aisha
Mmmmh haya bhuana simbaa
dorophina
Simba wameamua msimu huu
Elika
Simba chama kubwa
Issa
Bado sana jitahidin
Sarah
Simba chama lao
Magdalena
Simba moto wa kuotea mbali
Lydia Emmanuel Magoti
Kabisa yani simba imepamba moto
Sania mapua
Ni kweli simba wanatisha