Aguero Atamani Kujiunga Barca

Mshambuliaji wa timu ya Manchester City, Sergio Aguero amewaambia watu wa karibu juu ya kutaka kujiunga na Klabu ya Barcelona huko Hispania.

Kwa sasa inajulikana wazi ya kwamba Mshambuliaji huyo raia wa Argentina, hatakuwa kwenye kikosi hicho baada ya msimu huu kuisha kwa kuwa hatoongeza mkataba mwingine na kikosi hicho.

Aguero

Taarifa zinasema kuwa nyota huyo, Sergio Aguero ambaye alicheza ndani ya La Liga akiitumikia klabu ya Atletico Madrid, na kwa sasa anahitaji kurejea tena kwenye ligi hiyo kubwa ya Hispania.

Aguero, mwenye umri wa miaka 32, amekuwa akisemekana kujiunga Chelsea pamoja na Manchester United ambazo zinamuhitaji kumuona nyota huyo akibaki ndani ya Premier League.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

mini power roulette

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

CHEZA HAPA

10 Komentara

    Haya beans hayo maamuzi yake kubaki au kuondoka#meridianbett#

    Jibu

    Sio mbaya kazi popote

    Jibu

    Ni vizuri tu akaribie barca

    Jibu

    Hakuna shida kama nafasi ipo aende tuu

    Jibu

    Kazi popote

    Jibu

    Huna chako kwa pep sepa

    Jibu

    Kambi popote aende tu

    Jibu

    Apambane ataenda tu

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Aende akakutane na kaka Messi

    Jibu

Acha ujumbe