Alisson; "Liverpool Ipo Kwenye Njia Sahihi"

Golikipa wa Liverpool na timu ya taifa ya Brazil – Alisson Becker, amenukuliwa akisema timu yao ipo katika njia sahihi baada ya ushindi dhidi ya Chelsea wikiendi iliyopita.

Liverpool ambao waliutwaa ubingwa wa EPL msimu uliopita wakiwa na mechi 7 mkononi, walionekana kushuka kiwango katika mechi zao za mwisho. Vijana wa Jurgen Klopp waliambulia ushindi katika michezo 5 pekee kati ya 9 ya mwisho.

Akifanya mahojiano na Sky Sports, Alisson amesema, ” tunajua tulishuka kiasi fulani, hatufahamu kwanini.

“Sio kitu ambacho tulitaka kiwe vile lakini tulifahamu kama tunapaswa kurudi kwenye kiwango thabiti ili tuendelee kuwa washindani na kutetea taji. Tunafahamu msimu huu, ushindani utakuwa mkubwa zaidi.

“Ni mwanzo mwa msimu, tulikuwa na mchezo mgumu dhidi ya Leeds. Ulikuwa ni mchezo ambao chochote. Ulikuwa ni mchezo wa kuvutia kwe yeyote aliyeangalia lakini kwetu ulikuwa ni mchezo mgumu.

“Baada ya mchezo ule, tuliwafata Chelsea, ni wapinzani wagumu na tulihitaji utulivu wa akili zaidi. Nilipendezwa na changamoto tuliyokutana nayo, tulijitahidi kujilinda na kutumia nafasi tulizozipata.

“Lakini nilichokipenda zaidi ni mtizamo wetu kwenye ule mchezo, tupo kwenye njia sahihi.”

Liverpool watakuwa uwanjani wikiendi hii kuwakaribisha Arsenal. Alisson anatarajia kuendelea kuwa golini kupambana na mashambulizi ya Arsenal.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

40 Komentara

    Liverpool wako vizuri kwa sasa

    Jibu

    Timu ya kloop hainaga kazi mbaya kama anavyosema Alisson ni kweli liverpool iko kwenye njia sahihi

    Jibu

    Mchezo zidi ya Chelsea walistahili ushindi kwani wapinzani wao walikua wako pungufu.

    Jibu

    Liverpool itakutana na ushindani usio wa kawaida msimu huu. Alisson ameleta utulivu langoni mwa Liverpool#meridianbettz

    Jibu

    Livpool IPO viziri

    Jibu

    Liverpool imejipanga vizuri Sana msimu huu

    Jibu

    Liverpool watakutana na ushindani usio wa kawaida msimu huu

    Jibu

    Safu ya liverpool ipo vizuri na wamejipanga vizuri kwenye mchezo unaofuata zidi ya arsenal

    Jibu

    Livepool naikubali

    Jibu

    Liverpool mmejipanga vizur ila cc mashabiki wenu tunaitaji matokeo

    Jibu

    Liverpool wamejipanga vinzur

    Jibu

    Vizuri Kama anakiona icho Liverpool amejipanga kisawa sawa

    Jibu

    Liverpool wajipange haswa arsenal sasa hipo vizuri sana inawalinzi wa kutosha wa kutetea mlango wao

    Jibu

    Liverpool ina tisha sana

    Jibu

    Liver now wako vzur had raha

    Jibu

    Allison atawakomesha

    Jibu

    Safi saaana

    Jibu

    Liverpool ya sasa sio kama ya zamani

    Jibu

    Kwer ni mwanzo mzur

    Jibu

    Liverpool level nyingine

    Jibu

    Alisson ni kweli liverpool iko kwenye njia sahihi

    Jibu

    true

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Alissson anafurahia Ufalme ndani ya Liverpool

    Jibu

    Liver itatisha msimu huu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Liverpool wako vizuri mno

    Jibu

    Liverpool wapo vzr acha watuonyooshe.

    Jibu

    Mchezo zidi ya Chelsea walistahili ushindi kwani wapinzani wao walikua wako pungufu.

    Jibu

    Liverpool wamejipanga

    Jibu

    klopp hanaga kazi mbovu

    Jibu

    Kujiamini kunasaidia pia!!!

    Jibu

    Kabisa yani

    Jibu

    Liverpool wako vizuri

    Jibu

    klopp kikosi chake anajua kukipanga vizuri sana

    Jibu

    Liverpool Wana jambo lao msimu huu

    Jibu

    Liverpool wapo vizuri msimu huu lazima kieleweke

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.