Arsenal Kupindua Meza kwa Isco

Kiungo wa zamani wa klabu ya Real Madrid alievunja mkataba wake na klabu ya Sevilla Francesco Isco Alarcon ameiingiza Arsenal Vitani kwenye dirisha dogo.

Kiungo huyo ambaye alijiunga na klabu ya Sevilla mwez wa nane mwaka huu ameamua kuuvunja mkataba wake na klabu hiyo baada ya kudumu kwa miezi minne tu, Huku mkataba ulikua wa miala miwili.arsenalKiungo huyo anahusishwa kujiunga na klabu ya Wolves ya nchini Uingereza ambayo inafundishwa na aliekua kocha wake ndani ya Real Madrid na klabu ya Sevilla kabla ya kutimuliwa, Lakini inaelezwa klabu ya Arsenal inataka kuingilia dili hili na kumchukua kiungo huyo fundi.

Klabu ya Arsenal ni miongoni mwa vilabu vilivyokua vinahitaji saini ya kiungo Isco baada ya kuachana na klabu ya Real Madrid kwenye dirisha kubwa majira ya joto, Lakini mchezaji huyo aliamua kujiunga na klabu ya Sevilla.arsenalKlabu ya Wolverhampton ambayo ipo chini ya kocha Julien Lopetagui kwasasa inawinda saini ya kiungo huyo ambaye yupo huru kwasasa kwa karibu sana, Lakini wakati huohuo washika bunduki wa London klabu ya Arsenal wakitaka kupindua meza.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.