Arteta : Nataka Nidhamu na Kujitolea Arsenal.

 

Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta ameweka wazi kitu anachohitaji kutoka kwa wachezaji wake, wakati akisisitiza nidhamu na kujituma ni moja ya vitu anavyozingatia.

 

Mikel Arteta amesema haiendeshi klabu ya Arsenal kama Dikteta kama wengi wanavyodhani lakini anataka Heshima/Nidhamu na kujitolea kutoka kwa wachezaji wake.

Taarifa hizo zimekuja baada ya Arteta kumuondoa katika kikosi mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang na baadae kumvua unahodha wa klabu hiyo kutokana na utovu wa nidhamu.

Aubameyang hajacheza mechi 4 katika mwezi huu wala kushiriki katika mazoezi na kikosi cha kwanza kutokana na ishu za kinidhamu baada ya kuchelewa kurudi kambini.

Meneja huyo ameweka wazi ni bora kuondoka ndani ya klabu hiyo endapo atashindwa kupata vitu anavyovitaka kutoka kwa wachezaji wake ambavyo ni nidhamu na kujitolea.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe