Klabu ya Aston Villa wamekubali kulipa dau la Pauni Milioni 33 ambalo ni rekodi ya klabu kwa ajili ya kupata saini ya kiungo Emiliano Buendia kutoka Norwich City.

 

villa, Aston Villa Waipiku Arsenal kwa Buendia., Meridianbet

Buendia mwenye umri wa miaka 24 ameshakamilisha vipimo vya afya akiwa kwao Argentina , ada ambayo pia itakuwa rekodi ya mauzo kwa Norwich ambao walikataa ofa ya Arsenal.

Ada hiyo inaweza kuongezeka mpaka kufikia Pauni Milioni 40 . Buendia alifunga magoli 15 na assists 16 msimu uliopita wa Championship.

Arsenal walikataa kutoa ofa ya pauni milioni 30 kupata saini ya kiungo huyo mpaka klabu ya Villa walipoingia kwenye kinyang’anyiro hicho na kukamilisha dili hilo.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa