Klabu ya Atalanta ya nchini Italy inayocheza Serie A imeshindwa kuongoza ligi hii leo baada ya kutoa sare nyumbani kwake dhidi ya Cremonese ikiwa timu hiyo ndo inapata sare yake ya pili  kwenye mchezo wao wa leo.

Atalanta Yahaha Kuongoza Ligi

Atalanta walikuwa wakishinda mchezo wao wa leo waongoze ligi baada ya mchezo wao wa leo wa raundi ya 6 huku wakiwa wamepishana na aliyepo nafasi ya kwanza Napoli ambaye wana alama sawa 14 huku tofauti yao ikiwa ni magoli ya kufungwa na kufunga.

Klabu hiyo ambayo inaongozwa na kocha wake mkuu Gian Gasperin ndani ya michezo sita waliyocheza ameshinda mechi nne na katoa sare mbili huku kwa upande wa Cremonese katika sita walizocheza ametoa sare mbili na kupoteza michezo minne.

 

Atalanta Yahaha Kuongoza Ligi

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa