Kapteni wa Arsenal, Pierre-emerick Aubameyang amewaonya wachezaji makinda wa klabu hiyo wanapaswa kuwa wavumilivu na kujitolea katika kipindi hichi.
Arsenal ipo katika wakati mgumu na pressure kubwa ya kimatokeo kwa wakati huu ni vema kupewa nafasi wachezaji wazoefu kama Xhaka , Willian na wengineo ili kuiokoa klabu hiyo kutoka eneo la hatari.

Aubameyang anasema anakumbuka yeye akiwa Ac Milan nafasi walikuwa wanapewa wazoefu halafu wao vijana wanapewa kidogokidogo ili kupewa uzoefu sio kuwa tegemeo moja kwa moja.
Mchezaji huyo amewataka makinda wa timu hiyo kuwa wavumilivu kwa wakati huu timu inahitaji matokeo zaidi. Kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Chelsea Aubameyang anaweza kukosekana kutokana na majeraha.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Ernest Kimeru
Hali mbaya sana kwa Arsenal
Latifa juma mohamed
Jambo jema.
Salma ngende
Hii aiko poa kwa arsenal
Shakila mrope
Ooh vizuri san
Issa
Areteta ajipang ubingwa
Saupha mohamed
Jambo zuri
Sarah
Jambo zuri
Hopemwaikuka
Ni kwel asemayo Auba
Tatu
Jambo zuri
Lydia Emmanuel Magoti
Jambo zuri
Fatuma kasomo
Gud news
Mwanahamisi
Jambo zuri
Caroline
Hali ni tata
Rahmal
Jambo jema
warda
Utulivu unasaidia
Chiku
Ukiwa mpole utayaona usio yajua