Man United Wanaahirisha Kumfukuzia David Alaba

Man United wanaripotiwa kuwa na uwezekano wa kutemana na mpango wa uhamisho wa beki wa Bayern Munich David Alaba mwezi Januari.

Nyota huyu amesalia na miezi sita tu kwenye mkataba wa wa sasa na nyota huyu wa Austria sasa anaweza kufanya mazungumzo rasmi na vilabu vya kigeni kuanzia mwezi ujao.

Man United, pamoja na vilabu vingine kadhaa vikubwa Ulaya vimehusishwa sana na uhamisho wa mchezaji huyo wa miaka 28.

David Alaba to Man United?

Kwa mujibuwa wa Telegraph, Ole Gunnar Solskjaer anapinga mpango wa kufanya nyongeza yeyote kikosi katikati ya kampeni.

Msimamo huu wa United unaweza kuwapa faida wapinzani wake katika kuinasa saini ya staa huyu. Bila shaka anaweza kujikuta anakuwepo Allianz Stadium msimu wote au akashawishika kuhamia vilabu vingine.

Hata hivyo, Alaba bado ni shemu muhimu ya mabingwa hawa wa Ligi ya Mabingwa ya 2020, akiwa amecheza jumla ya mechi 18 kwenye mashindano yote tangu mwezi Septemba.


 

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

13 Komentara

    Popote kambi

    Jibu

    Ooh kila mtu anamgimbania david alaba

    Jibu

    Atawakost united

    Jibu

    Dhuuu

    Jibu

    David Alaba Yuko vizuri

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Itakavyokua ndo hvyo hvyo

    Jibu

    Wafanye jitihada wamchukue

    Jibu

    Kijana yupo vizuri anajua

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Nomaa

    Jibu

    Atali

    Jibu

    Alaba yuko poa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.